Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weraaa
andjul kuja hukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babe penda wewe sana mana husikizi maneno ya watu
 
Ni kweli.Nimeshiriki mara moja,hali ilikuwa ngumu sana kwangu,nimekaa kuanzia saa moja hadi saa tano usiku.Masumbuko aliyoyapata nikawa naombea hata iharibike mke wangu apone nirudi nae nyumbani.Alivyo jifungua tu,nikamwambia hapo ndio mwisho wako kubeba mimba....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…