Tafadhali fatilia uje na jibu
Pyeeeeee yaaaniiKumbe umemuona hadi wewe[emoji23][emoji23][emoji23]mzee anawivu huyu
Hapo kwenye nyodo[emoji817] [emoji817] [emoji817] wanakuwa viburi hatariKabisa
Upinzani unakua mkubwa huko njee,halafu nyodo zinaongezeka
Muhimu sana,huyu mwalimu kaleta kitu kipya kabisaAcha nijaribu kuifuatilia kama nitaweza nikipata majobu nitaleta hapa
KweliMuhimu sana,huyu mwalimu kaleta kitu kipya kabisa
Kweli kabisa,sema tangawizi ni kiboko,ukichanganya na mlonge apart from kutibu mambo mengi mwilini ila ukiliamsha dude kulilaza utasubiri sana[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tumia kwa
uangalifu mkuu maana tiba nyingine huwa zinagoma kabisa