cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Nakubaliana na wewe.Kamwe sitakaa nimhurumie mwanasiasa hata siku moja...Hasa hawa wanasiasa uchwara wa Afrika hawa. Hapo si ajabu ana mzigo mzito wa madeni ya wafadhili wa kampeni yake na si vinginevyo.
Asante sana[emoji120][emoji120]Ni kweli.Sh.10,000
Mwanaume matumizi...vocha,bia,kuhonga,nyama choma,nauli ya kurudia home...
Mwanamke matumizi...unga,maharage,mkaa,mafuta ya kupikia,chumvi,akiba ya kesho.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera zetu wanaume wooooooteeee
Mkuu mambo vipiWewe Dada plz kwa hatua hii uliyofikia nakuomba uzime data kama ni like umepata zakutosha
Yaani saiv unaweka hado doti . halaf unatuma???
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwendaaaaaa...
Usiku mwemaJamani
Usiku mwema
Ulinzi wa Mungu uwe nanyi.
Acha nikatafute part two ya ndoto yangu ya jana usiku.
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama hana huruma nitajikuta nipo kituo cha kati nitakavyo mparamia...Hahaaa... Eti nachungulia "Kamsambwanda"! Sasa ukikuta ni Limsambwanda utafumba macho? [emoji3]
Eeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke anampenda mtu mkorofi,wa kuacha acha,iga kwangu,nsamaka anaenda anarudi mwenyewe... Endelea kumrembesha,mwenzio amfanyia fujo ndio maana hamsahau...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] simamisha kichwa baba,angalia juu
Na kwako piaJamani
Usiku mwema
Ulinzi wa Mungu uwe nanyi.
Acha nikatafute part two ya ndoto yangu ya jana usiku.
[emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji357]
Eeeehhh we mzee wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] haya...endelea kujishebedua.Wenzio wanajimwayamwaya usiku kucha humu