Ni kweli.Sh.10,000
Mwanaume matumizi...vocha,bia,kuhonga,nyama choma,nauli ya kurudia home...
Mwanamke matumizi...unga,maharage,mkaa,mafuta ya kupikia,chumvi,akiba ya kesho.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera zetu wanaume wooooooteeee
Pete ya kisoda[emoji23][emoji23]hivi kakwambia kama yuko kibitiHalafu hata simuelewagi,sijui alisahau nini kule?[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
HahahahahaBado wamelala ngoja waamke!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji23] eeh[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] endelea kusubiri,ulaze ubongo wako kwa raha zako.Siku ukiamka utamtafuta shangazi badala ya mjomba...mfyuuu zako