Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wachaga shikamoonii !!!![]()
Leta ushahidi hapa tuoneMwanamke anampenda mtu mkorofi,wa kuacha acha,iga kwangu,nsamaka anaenda anarudi mwenyewe... Endelea kumrembesha,mwenzio amfanyia fujo ndio maana hamsahau...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] simamisha kichwa baba,angalia juu
Kumbe hayo mambo yanatokea humu humu haiwezekan[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] haya...endelea kujishebedua.Wenzio wanajimwayamwaya usiku kucha humu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah wapi sielewi hiyo lugha yenu mimi
Sasahivi kuna mechi gani?mana nasikia kelele huku kwetu
Tena alete ushahidi wote namsubiri[emoji1][emoji1]Leta ushahidi hapa tuone
Namkumbuka mwalimu wangu wa maths Mr.Chigomelo,anakupa jibu tu,wewe uendelee kuhenyeka alilipataje...Heshima kwetu tulio wahi kufundisha na hatukuchukiwa na wanafunzi(bila kutumia fimbo)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwambie alete ushahidiKumbe hayo mambo yanatokea humu humu haiwezekan
Na ukifungwa akili itakukaa sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapa nimechoka hadi meno ila haya mapenzi haya acha tu ngoja nisubiri tu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]