Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3228.JPG
IMG_3218.JPG
IMG_3218.JPG
Muhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,Na divai huyafurahisa maisha,Na fedha huleta jawabu la Mambo yote.

Ila kumbuka haya maneno yametoka kwa huyu huyu jamaa aliyeomba hekima kwanza badala ya fedha.
Kumbuka kutoka katiko ukoo huo huo alizaliwa jamaa aliyesema ni vigumu sana kwa tajiri kuurithi ufalme wa mbingu kuliko ngamia kupenya katika tundu la sindano
Usijidanganye ndugu yangu
Ndiyo maana watu wanakuwa hawana pesa na ukiikataa pesa unakosa HEKIMA NA MAARIFA
maana zitakuwa hazina manufaa kwako!
Kumbuka mfano wa YESU KRISTO wa wale wafanya kazi watatu na bosi wao!
Ukiikataa Pesa nayo itakukimbia!
Ukiukataa utajiri nao utakukimbia
Wazungu ni wajanja walicheza na akili ya mwafrica juu ya PESA
PESA ni maendeleo!
IMG_3219.JPG
 
Kuna wakuu wamesha anza ku disturb equilibrium mapicha yao ya kutisha kukitulia nitarudi
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
View attachment 568438 View attachment 568427 View attachment 568427
Usijidanganye ndugu yangu
Ndiyo maana watu wanakuwa hawana pesa na ukiikataa pesa unakosa HEKIMA NA MAARIFA
maana zitakuwa hazina manufaa kwako!
Kumbuka mfano wa YESU KRISTO wa wale wafanya kazi watatu na bosi wao!
Ukiikataa Pesa nayo itakukimbia!
Ukiukataa utajiri nao utakukimbia
Wazungu ni wajanja walicheza na akili ya mwafrica juu ya PESA
PESA ni maendeleo!View attachment 568428
Pesa ni muhimu sana kwenye maisha maana inajibu mambo mengi sana ila kuna mengine pesa haiwezi kujibu trust me
 
Back
Top Bottom