Usijidanganye ndugu yanguMuhubiri 10:19
Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,Na divai huyafurahisa maisha,Na fedha huleta jawabu la Mambo yote.
Ila kumbuka haya maneno yametoka kwa huyu huyu jamaa aliyeomba hekima kwanza badala ya fedha.
Kumbuka kutoka katiko ukoo huo huo alizaliwa jamaa aliyesema ni vigumu sana kwa tajiri kuurithi ufalme wa mbingu kuliko ngamia kupenya katika tundu la sindano
Yani siku ikiendelea lazima upate feedbackPole sana mana nilishajiandaa na muendelezo leo[emoji1][emoji1]
Wengine tunakunywa likes tu huku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakuu mida ya Chai hii
Kutesa kwa zamu eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi mechi mbili tu cherie neisha
ndio mda wake subiri tu yeye ndio atanikimbia humu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nitazame ili iweje na nigundue nini [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nitasubiri kwakweliYani siku ikiendelea lazima upate feedback
Kanywe chai babesWakuu mida ya Chai hii
Pesa ni muhimu sana kwenye maisha maana inajibu mambo mengi sana ila kuna mengine pesa haiwezi kujibu trust meView attachment 568438 View attachment 568427 View attachment 568427
Usijidanganye ndugu yangu
Ndiyo maana watu wanakuwa hawana pesa na ukiikataa pesa unakosa HEKIMA NA MAARIFA
maana zitakuwa hazina manufaa kwako!
Kumbuka mfano wa YESU KRISTO wa wale wafanya kazi watatu na bosi wao!
Ukiikataa Pesa nayo itakukimbia!
Ukiukataa utajiri nao utakukimbia
Wazungu ni wajanja walicheza na akili ya mwafrica juu ya PESA
PESA ni maendeleo!View attachment 568428