Ni kweli mkuu,ushindi uwe kwenye nyumba zetu,tupiganie furaha ya nyumba yetu.Maono ya wazungu ni upofu kwa maendeleo yetu.Tusimame sisi kama sisi tukiamini kuwa tunaweza kuyashinda matatizo yetu yanayo tuzunguka.Ishi kwenye ndoto kuwa tajiri huko mbeleni,penda HELA...Mkuu andjul ushindi kwanza
View attachment 568516
Wapi mzee wa liver....