Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ecbd9035bb793e33843113afdb7559ce.jpg
69e8f7e028f188af0caef5b7126fe4ab.jpg

Anza kuithamini hela ndogo
 
-Ukiridhika na unachopata wewe ni maskini
-Ukichoka kutafuta wewe ni maskini
-Ukishinda kwenye maombi bila kufanya kazi wewe ni maskini
-Ukisema 'yote namuachia Mungu' ni uoga na uoga ni umaskini
-Ukiwa na hofu huwezi kufanikiwa maana hofu ni umaskini
-Kulala lala ni uzembe na uzembe unailaza akili,huo ni umaskini
-Kulalamika lalamika ni upotevu wa muda,kupoteza muda ni umaskini
-Kuhisi utakufa kesho ni uoga wa maendeleo,utakufa maskini

*ISHI KWA HOFU YA MUNGU,ISHI KAMA VILE HAUTAKUFA,TAFUTA HELA(AMANI) UWEZAVYO,WEKEZA(FURAHA) KADRI UWEZAVYO,ING'ARISHE SURA YAKO KWA MAFUTA (UPENDO) YA GHARAMA ILI KILA JIRANI APENDE KUWA KARIBU NAWE*

MIMI NAPENDA HELA,WEWE JE?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu andjul ushindi kwanza
445.jpg
 
AMUN RA
Well said brother!
Na utapata haja ya moyo wako kama ulivyo tamka!
 
Back
Top Bottom