Hehehehe bora umejileta aisee, haya uko chimbo gani nikufuate kesho turudi nyumbani.Mbona ulinipata nsamaka? Hebu tengua kauli basi...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakuona tuEnhee
Safi tu, habari za kuadimikaMama,niaje...
Nakusalimia habari ya kibitiSafi tu, habari za kuadimika
We si upo kwa mchepuko acha nimfariji huyu mzee upweke utamuua[emoji1][emoji1]Nakuona tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]doooh!ulijuajeee??Na tunashukuru ulinyimwa chur#
maana ungetusumbua sana na hayo
madela yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
-Ukiridhika na unachopata wewe ni maskiniView attachment 568438 View attachment 568427 View attachment 568427
Usijidanganye ndugu yangu
Ndiyo maana watu wanakuwa hawana pesa na ukiikataa pesa unakosa HEKIMA NA MAARIFA
maana zitakuwa hazina manufaa kwako!
Kumbuka mfano wa YESU KRISTO wa wale wafanya kazi watatu na bosi wao!
Ukiikataa Pesa nayo itakukimbia!
Ukiukataa utajiri nao utakukimbia
Wazungu ni wajanja walicheza na akili ya mwafrica juu ya PESA
PESA ni maendeleo!View attachment 568428