TrueNi kweli mkuu,ushindi uwe kwenye nyumba zetu,tupiganie furaha ya nyumba yetu.Maono ya wazungu ni upofu kwa maendeleo yetu.Tusimame sisi kama sisi tukiamini kuwa tunaweza kuyashinda matatizo yetu yanayo tuzunguka.Ishi kwenye ndoto kuwa tajiri huko mbeleni,penda HELA...
Kama tutaamua kubadilika kwa kuitumia reference ya Libya ya Gaddafi na ya sasa,kuna kitu kikubwa tutakifanya hadi wazungu watashangaa