Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Umufangana?Ahsantee Shimba wangu.
Ulale salama Kijana wa kikolomije Simba yenye manyoya![]()
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Umufangana?Ahsantee Shimba wangu.
Ulale salama Kijana wa kikolomije Simba yenye manyoya![]()
Ukisoma maandiko vizuri utaelewa kwanini utajiri ulipewa nafasi yake. Kupenda ni tofauti na kusujudu,ukiishi kwa hofu ya Mungu kila kitu kinawezekana mkuu...Penda hela,tafuta hela,kuwa na hela ila usiisujudie hela wala kumsujudiea mwenye hela,mtumwa tu ndiyo atafanya hivyo
Ni kweli mkuu,ushindi uwe kwenye nyumba zetu,tupiganie furaha ya nyumba yetu.Maono ya wazungu ni upofu kwa maendeleo yetu.Tusimame sisi kama sisi tukiamini kuwa tunaweza kuyashinda matatizo yetu yanayo tuzunguka.Ishi kwenye ndoto kuwa tajiri huko mbeleni,penda HELA...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wangeraruana.Mkuu kwema?Jirani kabisa na Carba
Na ndiyo hivyo itakavyo kuwa!Kama tutaamua kubadilika kwa kuitumia reference ya Libya ya Gaddafi na ya sasa,kuna kitu kikubwa tutakifanya hadi wazungu watashangaa
Kama nakuona unamchungulia babe SNini tena
Kazi kweli kweliPenda hela,tafuta hela,kuwa na hela ila usiisujudie hela wala kumsujudiea mwenye hela,mtumwa tu ndiyo atafanya hivyo
Na ndiyo hivyo itakavyo kuwa!
Nchi yetu Tanzania tumejiwekea hazina kwa kuwasaidia nchi za Africa kupata uhuru
Kumbuka KARMA
KWA HIYO NI TIME YETU WATANZANIA KUVUNA TULICHO KIPANDA
AMBACHO NI MAENDELEO YA HALI YA JUU SANA!
CREATIONS HUWA INA DELIVER ULICHO KIPANDA
NA MAMA TANZANIA NI ZAMU YAKE KUSTAREHE SASA!
KWANZA SASA HIVI NI KUBADILISHA FIKRA ZA WATANZANIA
Tujifunze kuipenda nchi yetu wenyewe!
Kujithamini kama Mtanzania!
Amin, ubarikiwe sanaNa wote ambao sijawataja...
Tuendelee kuheshimiana na kujenga undugu na urafiki huu...
Nyote nawatakia Alhamis njema na yenye mibaraka tele !!!
DahDuh mimi na miziki hii ni tofauti kabisa!