Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

View attachment 568534
True
Tumkumbuke walivyo watapeli walibya!
Liwe somo kwa waafrica!
 
Kama tutaamua kubadilika kwa kuitumia reference ya Libya ya Gaddafi na ya sasa,kuna kitu kikubwa tutakifanya hadi wazungu watashangaa
Na ndiyo hivyo itakavyo kuwa!
Nchi yetu Tanzania tumejiwekea hazina kwa kuwasaidia nchi za Africa kupata uhuru
Kumbuka KARMA
KWA HIYO NI TIME YETU WATANZANIA KUVUNA TULICHO KIPANDA
AMBACHO NI MAENDELEO YA HALI YA JUU SANA!
CREATIONS HUWA INA DELIVER ULICHO KIPANDA
NA MAMA TANZANIA NI ZAMU YAKE KUSTAREHE SASA!
KWANZA SASA HIVI NI KUBADILISHA FIKRA ZA WATANZANIA
Tujifunze kuipenda nchi yetu wenyewe!
Kujithamini kama Mtanzania!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…