[emoji120] [emoji120] [emoji120] Mungu awe pamoja nasiNa ndiyo hivyo itakavyo kuwa!
Nchi yetu Tanzania tumejiwekea hazina kwa kuwasaidia nchi za Africa kupata uhuru
Kumbuka KARMA
KWA HIYO NI TIME YETU WATANZANIA KUVUNA TULICHO KIPANDA
AMBACHO NI MAENDELEO YA HALI YA JUU SANA!
CREATIONS HUWA INA DELIVER ULICHO KIPANDA
NA MAMA TANZANIA NI ZAMU YAKE KUSTAREHE SASA!
KWANZA SASA HIVI NI KUBADILISHA FIKRA ZA WATANZANIA
Tujifunze kuipenda nchi yetu wenyewe!
Kujithamini kama Mtanzania!
Uko wapi nikufuatensamaka[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Na mm niko busy kuona mji, bado nashangaa maghorofa ya huku hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unavyo nitenga sasa!!!
Naamini ipo siku[emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]