moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Katika ubora waoKazi kweli kweli
Mzee wa Liver na Yegomasika njooni mjieleze hapa. Ukerewe kisiwa chenye maprofesa na PhD holders wa kumwaga pengine kuliko sehemu nyingine Tanzania. Kisiwa cha Anicet Kitereza. Kisiwa cha Euphrase Kezilahabi. Kisiwa cha Gabriel Ruhumbika. Hili halikubaliki wakuu.
Hongera mkuu. Ubarikiwe sana !!!Toka jana mpaka muda huu nimemwaga likes za kishindo kwenu, nilikuwa page 400 nyuma na naelekea karibu yenu hapo mlipo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️