Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni furaha ilioje upo nayo!! Mshukuru sana Mungu kwa uwepo wao,penda kuwauliza tabia za utoto wako,usumbufu ulio wapa,waombe msamaha kwa kuwalalia mwilini ili wakusamehe kwa kukushika kwenye utosi wako.
Mungu awape afya njema na maisha marefu
Alafu nimejifunza kuwa sio vizuri kutembea na guilty!
Kwenye culture zetu tunapenda sana kuwa hivyo!
Kumbuka mtoto ni inocent!
Na anatakiwa kuwa mtoto!
Si vizuri kumfanyisha kazi za watu wazima mtoto!
Maana baadae familia yake itamshinda!
Maana atakuwa bado amewabeba wazazi kuliko mume au mke na watoto!
Kila kitu in moderation!
 
Stuff off the distractions...Uzi wa likes included [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7b53db2fcea73613466ca7dfd681eba2.jpg
Hahahaha
 
Back
Top Bottom