Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K066
Hapa temeke huku mitaa ya uswahilini ni shwari tu, ingawa vibaka wanapita pita wakimtafuta mtu wa kumkaba lakini hilo tumeshazoea tunapunga upepo uliochanganyika na harufu furani isiyoridhisha. Maisha yanasonga tuWaungwana. Alhamis hii inaendeleaje?
You AppreciatedToka jana mpaka muda huu nimemwaga likes za kishindo kwenu, nilikuwa page 400 nyuma na naelekea karibu yenu hapo mlipo
Sent using Jamii Forums mobile app