Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Alafu nimejifunza kuwa sio vizuri kutembea na guilty!Ni furaha ilioje upo nayo!! Mshukuru sana Mungu kwa uwepo wao,penda kuwauliza tabia za utoto wako,usumbufu ulio wapa,waombe msamaha kwa kuwalalia mwilini ili wakusamehe kwa kukushika kwenye utosi wako.
Mungu awape afya njema na maisha marefu
HahahahaStuff off the distractions...Uzi wa likes included [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha