Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hamna kwa kweli
Tofauti ni wao ni Wa marekani
Sorry I forgot!
Big difference....

Kuna wale crooked ones kama wale wanaokwambia utoe $1,000 ili upate miujiza and they always come at midnight na kuanza kukutisha. There are also the decent ones ambao wanahubiri neno kweli kweli...

Mungu wao wanayemtumikia bila shaka Anawajua vyema na Atawahukumu bila shaka. It's not our cup of tea to do so...
 
Ndiyo maana nikakujibu hamna!
Tofauti ni uraia tu!
Haku pia kuna wazuri kama una vyodai!
Kazi kweli kweli!
Hahahaha
 
Watajiju kwa kweli!
Hawa watu LAANA imewatawala!
Ghadafi alijitaidi wakamgeuka!
Watajiju kabisa
Afu waturudishie wanyama wetu
Dadeki!
Unajua maana ya LAANA wewe? hiyo laana uliwapa wewe?
Myahudi kila siku anapora madini mpaka makinikia yamestopishwa unaleta story za wanyama? Usitake kuchafua huu uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…