1. Hupunguza maumivu ya mwili, akili, na nafsi. Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika katika chuo cha Duke kitengo cha madawa, kwa watu 61 waliokuwa na maumivu makali ya mgogngo, ilibainika kuwa, watu wenye uwezo mkubwa wa kusamehe, hupunguza maumivu kwa asilimia 50!