Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Leo hadi mnikimbie humu
Gwa jei anafahamuNdio kwanza nimeliamsha dude
Huwezi kuamini hakuna niliyemkosea ila ni kwamba hakuna aliyetaka kushare penzi na mwenzie wakanipiga chini, mi nilizaa nao wote na nawapenda wote
Kwa leo napumzika nitaendela kesho hapa nilipoishiaBado toa likes bila maswali
Mi kitufe cha like kimefrizi. Halafu simu imepata motooo. Hii gharika ya likes aisee haijawahi kuacha simu ya mtu salama!Nyundo ya LIKE hapo ipo active mode
Asante maana nilijua napishana nawe maana leo nimeachiwa huru.Busy day. Weekend ntakuja kesha humu