Chukua hii kwanza kadadaBusy day. Weekend ntakuja kesha humu
Sawa sawa mkuu kazi nzuriKwa leo napumzika nitaendela kesho hapa nilipoishia
Yop!!...life comes onceHakina nani.
Wanazitumikia ndoa
Chukua like alafu fafanua hiyo kauli.Ngoja nikakojoe nilale
Usiku mwema nawe piaUsiki mwema wote
Je wewe watoa mkuu?[emoji28] [emoji28] [emoji28]Npen like jaman
Sina mpango wa mtoto mwingine mkuu labda wakitugea noah zetu za makinikia, nishaukubali u singledadUsiwe na wasi wa nne atakayekuzalia atakuwa wako wa milele, mtangulize Mungu na uwe na moyo mweupe ajaye umpe penzi nono kuliko hao waliopita... utajisikia upo kwenye ulimwengu meingine.
HahahahaKama likes zingekuwa kiss je ni nani ungependa akupe nyingi zaidi?
Safi saname bado nipo nagawa likes tuu
Unalala sa hizi kwan? Ngoja nikujazie likes kwanza
Kama dawa kama kawawakulisongesha tuendelee