Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muwasho wa koo
Muwasho wa koo unaotokana na alegi (allergy) au mafua hutibiwa na maji , mtu anapopata tatizo hili suluhisho la haraka ni kusukutua maji yenye chumvi lakini kuepusha tatizo hili ni kuhakikisha koo halikauki kwa muda mrefu.

Maji husaidia kupigana dhidi ya magonjwa

Maji yana msaada mkubwa sana kwenye kupambana na magonjwa mwilini mwako . Ni vizuri kunywa maji mara kwa mara kuepusha mwili wako na magonjwa . Pia ulaji wa matunda husaidia kuupa mwili maji muhimu yanayokuwa kinga dhidi ya magonjwa mbalimbali . Matunda kama mapapai,matikiti maji,matango,machungwa ,ndizi,maembe yanauongezea mwili maji ambayo yanakufanya ukae muda mrefu bila kuugua .
 
Mfanyabiashara tajiri raia wa Nigeria Aliko Dangote, ambaye anaorodheshwa kuwa mtu tajiri zaidi Afrika, amesema kuwa atamfuta kazi meneja wa Arsenal, Arsene Wenger, ikiwa atafaulu kuinunua klabu hiyo ya Uingereza, kwa mujibu wa shirika la Bloomberg. Wakati wa mahojiano na shirika hilo, Bwana Dangote alisema kuwa atajaribu kununua klabu hiyo, wakati ujenzi wa kiwanda chake cha kusafisha mafuta cha gharama ya dola bilioni 11 mjini Lagos utakamilika. Bw. Dangote anasema amekuwa shabiki wa Arsenal tangu miaka 1980. Wenger ni mmoja wa mameneja wa kandanda wanaosifika sana barani Ulaya na hivi majuzi, alisaini mkataba wa miaka miwili na kuendelea kuwa na klabu hiyo kwa zaidi ya miongo miwili. Kuna maoni tofauti kutoka kwa wafuasi wake, wengine wakisema kuwa klabu hiyo inahitaji meneja mpya ili kiweze kurejea hadhi yake.
 
Back
Top Bottom