mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hukulala?6:36 AM
CoLe World
Karudi kidogo
Am gudo, hawa yuuu Bob12.Good morning nsamaka
Asante daktariKutopata usingizi mzuri na wakutosha kunaweza kusababisha usahaulifu na matatizo ya kuweza kuwa makini (concentration).
Yafuatayo nimambo ya kufanya ili kukusaidia kupata usingizi unaofaa.
Aisee
Good morningGood morning Watu Wa Mungu
Hapa toa sababuPunguza muda wako kitandani
Kukaa au kujilaza kitandani muda ambao sio usiku kutakufanya ukose usingizi mzuri wakati wa usiku. Epuka kuwa kitandani muda mrefu.