Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hakina tata murrraaaa wazima maana huko si pakimchezo mchezo[emoji23] [emoji23]Huku mara kwema kabisa mkuu
Hakina tata murrraaaa wazima maana huko si pakimchezo mchezo[emoji23] [emoji23]Huku mara kwema kabisa mkuu
Umekuwa adimu sana humu kulikoniNiambie nimetegea sikio kusikia sauti yako zaidi ya taarifa ya kuongezewa salary. [emoji23]
Sema ukweli au nifunguke ulikuwa wapi?Salama tu,sijui wewe
Niliwahi kupumzika tu
Karibu sanaaHapa nimekuja hata nione tabasam lako tu.
Splendid
Pole kipenziNimeanza kuumwa kisa sijakuona.
Umenipa idea thanks my dear
I miss you moreeee
Mawazo tu ya kusubiri NOAH yangu ya brown.Umekuwa adimu sana humu kulikoni
Asante kipenzi pole yako imenipa ujasili hata wakuanza kutembea kwa mbwembwe.Pole kipenzi
Teh teh teh. Waache kununua Dreamliner wakununulie hicho kiberitiMawazo tu ya kusubiri NOAH yangu ya brown.
Maana niliandaa na sticker nilitaka NOAH yang niandike jina lang[emoji276] kabisa [emoji23] [emoji23]
Nimekaribia hapa nipo nasubiri glass ya sauti nyororo kutoka kwa Baby DollKaribu sanaa