Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
K733
Naanza kusamehe kuanzia Leo8.Huongeza siku zako za kuishi kwani usiposamehe utakosa furaha ya maisha. Utafiti unaonyesha kuwa watu wengi wenye umri zaidi ya miaka 70 wanauwezo mkubwa sana wa kusamehe, pengine ni moja ya sababu ya wao kuwa na maisha marefu zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]