Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madeni mkuu. It is not that easy. Ukijumlisha na "ego" na kale kamsemo kwamba eti Neva Kwiti in laifu mpaka atazeekamo tu. Hata kwetu hapa wa aina hiyo wapo wengi tu. Ndoto na kunguku lake...
Hapa tunao wawili mmoja zenji mwingine bara, mmh nao hawashikiki kwa kutamani urais. haya acha tugawane likes siasa tuwaachie wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajuwa kuna watu hawajuwi nini maana ya ugonjwa.

Soma hapa kwa kifupi.

Ugonjwa (maradhi )

Ni hali ya mvurugo katika utendaji wa kawaida wa shughuli za mwili na roho inayoathiri vibaya starehe ya kiumbehai .

Hakuna tofauti kamili baina ya ugonjwa na hali ya kujisikia vibaya.

Aina kuu 9 za magonjwa.

1.magonjwa ya kuambukizwa.

2.magonjwa ya kurithiwa

3.magonjwa kutokana na ajali

4.magonjwa kutokana na dutu za nje ya mwili (sumu, asidi ) au moto

5.magonjwa ya kansa.

6.magonjwa yaliyosababishwa na
tiba.

8.magonjwa yaliyosababishwa na
mfumo wa kingamaradhi uliomo
mwilini.

9.magonjwa ya roho.


Kila aina ina tiba zake.


Jiunge sasa na Chuo chetu kwa njia ya Whatsapp,Kwa Ada ya 2000/Kwa mwezi Upate Elimu ya Tiba Asili.

Wasiliana na Dr.Seifu.dodoma.
0620144253./0769116206.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema mrembo wa karne. Dunia bado inajizungusha katika mhimili wake. Pia inalizunguka jua. Na huko juu kwenye magalaxy mengine hali ni ile ile. Sayari zinapuyanga katika mzunguko usio na mwisho. Nyota zinaendelea kung'aa na zingine zinafifia baada ya kuishiwa na nguvu na nuclear fission kukoma. Nyingine zinamezwa na mablack holes yasiyoshiba. Unaweza kufikiri ni vurugu tupu lakini ukiangalia vizuri ni mfumo tatanishi sadifu uliopangiliwa vizuri na Grand Designer mwenyewe God the Almighty.

Sisi hapa Homo Sapiens na kasayari ketu haka kadogo kalikojaliwa uhai, mara moja moja inabidi tujiulize. Tupo hapa kwa lengo gani hasa? Eti Jakitoo na Shimba, kwa nini mmekutana wakati huu? Jukumu lenu kuu ni nini? Mtatoa mchango gani katika mfumo huu tata? Talanta zenu mlizopewa na Yule Mpaji Mkuu mtazitumiaje katika kuendeleza matakwa ya Grand Designer?

Nakisalimu Jakitoo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]My Genius shimba ya buyenze. Nakusalimu
 
2a3c1355af546b6dabecb1e4ed62248a.jpg


android phone
 
Back
Top Bottom