Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4bf90b049449ae49dccafa7572eea976.jpg
 
View attachment 569681Andjul hapo vipi huyu dada amenifurahisha sana ubishoo pembeni anachoma zake mahindi kwa raha zake
Ningefurahi zaidi angekuwa kwenye uhalisia,tatizo mwenye jiko yupo pembeni yeye anapiga picha tu.Kuna sehemu panaitwa Baraka njia panda kwenda boda ya Muanza(Mal&Mozam),mkuu wale wadada wa pale ni shida kwenye utafutaji...
 
Back
Top Bottom