Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

878b6789e28637a9b604023f41065b0c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Nice
 
Sema mrembo wa karne. Dunia bado inajizungusha katika mhimili wake. Pia inalizunguka jua. Na huko juu kwenye magalaxy mengine hali ni ile ile. Sayari zinapuyanga katika mzunguko usio na mwisho. Nyota zinaendelea kung'aa na zingine zinafifia baada ya kuishiwa na nguvu na nuclear fission kukoma. Nyingine zinamezwa na mablack holes yasiyoshiba. Unaweza kufikiri ni vurugu tupu lakini ukiangalia vizuri ni mfumo tatanishi sadifu uliopangiliwa vizuri na Grand Designer mwenyewe God the Almighty.

Sisi hapa Homo Sapiens na kasayari ketu haka kadogo kalikojaliwa uhai, mara moja moja inabidi tujiulize. Tupo hapa kwa lengo gani hasa? Eti Jakitoo na Shimba, kwa nini mmekutana wakati huu? Jukumu lenu kuu ni nini? Mtatoa mchango gani katika mfumo huu tata? Talanta zenu mlizopewa na Yule Mpaji Mkuu mtazitumiaje katika kuendeleza matakwa ya Grand Designer?

Nakisalimu Jakitoo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Hebu zaeni muijaze dunia,mbwembwe nyiiiingiii...oooh sijui harusi ya SYB &Jakitoo itafanyikia Mars sijui ndio huko??? Nendeni na mrudi fasta mujaze mapori yasiyo na watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ha wa yuuuni walaji konokono wangu,ha wa yuuu mpenda vyura....shemejiiiii...
 
Perfect place for a wedding photo [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
[emoji125] [emoji125] [emoji125] ona sasa....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom