Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Akuuuuuu tena ashindwee mzee wa [emoji196].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namuweza Mkoromije wangu tuuu, kimsambwana cha SYB tena akome
Nenda,unakosa zawadi ya
bb2e9d934ca570a77ab9ce2a34bd3b66.jpg
baa400fd6fae594c006bbb6ae32a79d3.jpg
3e336ee3e09a07ba8215e85b75e8fe52.jpg

Na ungeishi mjini kwetu kudhuriii
0f16b03bac29c71037e1311ad2366178.jpg
 
KUPOTEZA HAMU YA TENDO

Mwanamke ambaye hafurahii tendo la ndoa kwa mumewe au mpenzi wake yuko kwenye hatua za kuacha. Mara zote msisimko wa kimapenzi huashiria utoshelevu wa kihisia ambao ndiyo unaoelezwa kuwa ni muhimu kwenye uhusiano wa kimapenzi kuliko kitu kingine chochote.
Hii ina maana kwamba, mwanamke anayetosheka na kuvutiwa na mwanaume aliyenaye hawezi kukosa hisia za kimapenzi hasa anapokuwa na mwenza wake faragha.
 
KUPENDA KUKOSOA

Kama nilivyosema, kujua historia ya penzi lenu namna lilivyoanza ni jambo muhimu kwa sababu husaidia kujua kama kuna mabadiliko hatari ya tabia za mwanamke.
Ikitokea mpenzi wako ambaye hapo mwanzo alikuwa msikivu na ghafla ukaanza kuona amekuwa mkosaji na mpingaji wa mwenendo wako au kila unachofikiria kukifanya, tambua kuwa hiyo ni ishara kuwa amechoka kilichobaki ni nafasi ya kukuacha.
 
UHUSIANO NA MTU MWINGINE

Licha ya kwamba usaliti kwenye uhusiano limekuwa suala la kawaida siku hizi, lakini mwanamke ambaye atakuwa hafichi uhusiano wake wa pembeni na kuacha minong’ono ikikufikia huku yeye akionesha kutojali malalamiko yako ya kusalitiwa, ujue hiyo ni ishara kwamba mwanaume wa pembeni amemfikisha kwenye hitaji la moyo wake na hivyo kuachana na wewe si jambo la gharama kwake.
 
KUTOKUKUTEGEMEA

Mwanamke ambaye ana kusudio la kukuacha huanza kwa kuuondoa utegemezi. Ikiwa alikuwa anakuomba nauli, fedha ya matumizi, ada na huduma nyingine atasitisha bila kukuambia na bado utaona anaendelea kujimudu kama kawaida au kuteseka kimya kimya. Kuacha kukutegemea kama zamani ni dalili za kuweza kuishi bila wewe na hivyo kutafsiri uwezekano wa kukuacha wakati wowote.
 
Back
Top Bottom