mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] shemeji umefika mbali sana,niliwe ? Wewe ni simba eee... Njoo unile uone moto wake[emoji375] [emoji380] [emoji419] [emoji379] [emoji378] [emoji379] [emoji380] [emoji378] [emoji379] [emoji380] [emoji375]
HahahahahaAkuuuuuu tena ashindwee mzee wa [emoji196].[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namuweza Mkoromije wangu tuuu, kimsambwana cha SYB tena akome
Kuna tajiri, msomi na maaruf hapa kijichi amekosa masa mashine , hana furaha yoyote.Mkuu hili neno umelipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amina.Mungu ampunguzie maumivu.Inauma sanaUsikate tamaa. Hata Mungu Hapendi. Kama nilivyosema mara ya mwisho, tusisahau mibaraka ya kuwa na hawa wazee wetu mpaka wakati huu. Wengi hawakupata bahati hiyo. Tuendelee kumtegemea Mungu rafiki yangu. Mama yeye ana ka unafuu kidogo. Tatizo lake linahitaji operesheni kubwa na hatari lakini yeye mwenyewe hataki. Hata madaktari wanasema kwamba kulingana na umri wake operesheni hiyo haitakuwa na maana yo yote. Hata leo nimeongea naye kwenye simu. Ameniimbia nyimbo nzuri za utotoni, tukalia na kutakiana mema. Ndiyo maisha ndugu yangu...
MWANAMME MASHINEMkuu hili neno umelipenda sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hile ni kuingiza hewa kwa wingiFowler dah nilikuwa namkubali sana na viplasta vyake puani
nafight with my weather[emoji23][emoji23]