Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Simu yako ni HATARI SANA kwenye Afya yako. Fuhamu MADHARA yatokanayo na simu yako na JINSI YA KUYAPUNGUZA. Simu tunazozitumia hutoa mionzi (radiations) hatari sana ijulikanayo kama "Electromagnetic waves" wakati wa kupiga/kupokea simu, kuperuzi Internet,
 
Madhara ya Mionzi hii; 1. Husababisha Saratani ya Ubongo (Brain Cancer) na ngozi (Skin Cancer). 2. Husababisha hitilafu kwenye Ubongo na hii hupelekea kupoteza kumbukumbu, uwezo mdogo wa kupambanua mambo na umakini (Concentration).
 
Weka vifaa maalum vya kupunguza mionzi (Radiation absorbers) kwenye simu yako. Vinapatikana madukani. 2. Usipende kuweka simu mfukoni endapo huitumii. Wakati wa kulala weka mbali angalao SM 30 kutoka ulipo.
 
3. Simu iwapo mfukoni, upande wa Vitufe na kioo cha simu ndio kielekee mwili wako! 4. Tumia "headsets" au "Kipaza sauti (Loud Speaker). Hii hukusaidia kuwa mbali na mionzi wakati wa kupiga/kupokea simu. 5. Usiitumie simu yako iwapo ina "bar" moj
 
Back
Top Bottom