Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naamini wengi wetu kwa sasa tunatumia simu na hususan hizi simu za Smart phone.Ni wengui tunazitumia na hatujui madhara yake

Sasa nianze na kisa kifuatacho kisha mtaelewa jinsi simu hizi zinavyoweza kuleta madhara makubwa kwenye afya zetu..
 
Yeye kalowea Masaki; na hajachapisha kitabu chochote kama ilivyo kawaida ya wasomi wa Kikerewe. Muswada wa kitabu chake juu ya Mbinu na Mikakati ya Biashara ya Forex kitatoka mwaka 2019. Ndiyo maana imebidi azikimbie raha za Masaki na kwenda kujichimbia Dodoma ili kukimalizia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha Mkuu wacha tu ndio tunajaribu kubobea
 
Profesa Li Li, kiongozi wa hospitali ya macho huko singapore amesema: anasema mionzi ya moja kwa moja kwa zaidi ya dk 30 na kuendelea inaweza kusababisha mpangilio na mbadiliko wa seli macho na hivyo kusababisha saratani na kushindwa kuona kabisa.
 
Back
Top Bottom