Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naamini wengi wetu kwa sasa tunatumia simu na hususan hizi simu za Smart phone.Ni wengui tunazitumia na hatujui madhara yake

Sasa nianze na kisa kifuatacho kisha mtaelewa jinsi simu hizi zinavyoweza kuleta madhara makubwa kwenye afya zetu..
 
Hahahahaha Mkuu wacha tu ndio tunajaribu kubobea
 
Profesa Li Li, kiongozi wa hospitali ya macho huko singapore amesema: anasema mionzi ya moja kwa moja kwa zaidi ya dk 30 na kuendelea inaweza kusababisha mpangilio na mbadiliko wa seli macho na hivyo kusababisha saratani na kushindwa kuona kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…