Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,277
Duh. Nyumba Nyekundu ipo huko?
Duh. Nyumba Nyekundu ipo huko?
Kongowe si kuna nyingine ya Mbezi?
Mbagala haina miinuko mikali kama mbezi /kimara. Maeneo machache kama kilungule ndilo lina bonde kubwa.Mkuu Inaelezwa kuwa eneo la Mbagala liko poa hakuna milima kama ilivyo eneo la Mbezi ya Kimara?