Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3568.PNG
 
Mkuu Inaelezwa kuwa eneo la Mbagala liko poa hakuna milima kama ilivyo eneo la Mbezi ya Kimara?
Na pia mbagala inajivunia kuwa na eneo moja matata sana ambalo wenye uwezo wamewekeza hapo, linaitwa kijichi. Eneo hilo limeganyika kwenye maeneo madogo kama vile: neluka, nasaco, mgeninani, kwa zombe, miahande kwa mroso, mihande kwa zombe, mihande kwa manji, toangoma nssf nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuangoma kuwa rafiki yangu maeneo ya petroli station kubwa hivi kuwa Maduka pia. Alinielekeza
 
Back
Top Bottom