Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3613.JPG
 
Si wewe tu Mkuu bali wengi sana. Ilikuwa ni tishio kubwa halafu walikuwa wakicheza kwa kujiamini mno na results zilikuwa zikiendana na kujiamini kwao na kandanda walilolicheza lilikuwa la uhakika si kukimbia kimbia tu.
Mbali sana brother.
Ukianzia kina Nigel winterburn,Lee Dixon,Steve bould,kaka mkuu Tony Adams, David Seamens, hao kina Ray Parlour,Berkamp mpaka kina Jens Lehman, Sol Campbell.
Tulipata raha sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom