Madenge kwenye ubora
*baba* mwanangu utaowa lini maana umekuwa sasa
*madenge*namsubiria bibi maana ni muda mrefu sasa ananiita mchumba
*baba*[emoji34][emoji34][emoji34]yule ni mama angu huwez kumuowa
*madenge* mbona wew ulimuowa mama angu na mimi sijasema kitu?? [emoji15][emoji15] kumbe we inakuuma sio sasa kama hutaki nawew muache mama angu kila mtu abaki na mama ake[emoji34][emoji34][emoji34]
*kwa kweli hata b six naunga mkono*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app