Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,365
- 14,187
Mbali sana brother.Si wewe tu Mkuu bali wengi sana. Ilikuwa ni tishio kubwa halafu walikuwa wakicheza kwa kujiamini mno na results zilikuwa zikiendana na kujiamini kwao na kandanda walilolicheza lilikuwa la uhakika si kukimbia kimbia tu.
Mbali sana brother.
Ukianzia kina Nigel winterburn,Lee Dixon,Steve bould,kaka mkuu Tony Adams, David Seamens, hao kina Ray Parlour,Berkamp mpaka kina Jens Lehman, Sol Campbell.
Tulipata raha sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Gr8 kwa kweliGood morning Madame. How are you? How was your morning prayers?