DahBob 12 unawakumbuka hawa
Ndio Mara ya mwisho kuleta furaha Arsenal
Tayari nimepitia Mkuu nimeelewa kwa hiyoMzee wa liver ulisoma ile post 291238 kuhusu Bombardier Q400 nakuliza mara ya tatu sasa hujibu
Nzuri kwa kweli
Safi mkuu
Siku hii ukiifatilia hii mechi unajua kabisa Mungu hakutaka Milan achukue. Ilikuwa final moja very emotionalAcha kabisa
wachezaji wa zamani walikua na mzuka mwanangu,siyo arsenal tu ni timu nyingi,kuna game ambayo kwangu iliniacha mdo wazi,hii hapa