Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Si wewe tu Mkuu bali wengi sana. Ilikuwa ni tishio kubwa halafu walikuwa wakicheza kwa kujiamini mno na results zilikuwa zikiendana na kujiamini kwao na kandanda walilolicheza lilikuwa la uhakika si kukimbia kimbia tu.
Lakini kila zama na wakati wake hile ilikuwa ni generation ya France haijapata kutokea iliwabeba sana gunners
Patrick viera
Emmanuel petit
Thiery Henry
Silvia willtody
Lebof
Yaani kulikuwa na wachezaji kama Sita wa national team ya France katika gunners
 
Hello hello mmeamkaje humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
6f00853271bdde1ad0ab34cac269ed18.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Wazazi wawili wanaweza Lea watoto 8 lakini, Watoto 8 wanaweza kushindwa kuwalea wazazi wawili. Fikiria mara mbili kabla ya kutumia pesa na watu ambao hawana msaada*

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]

Simpi Kiki kunguni wa mwendokasi
 
Back
Top Bottom