Yap
Yaan kwangu mimi kuanzia 2000 till now ni final mbili tu ya kwanza ni ya Liverpool vs ac Milan na ya pili ni Manchester United vs Chelsea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii mechi baada ya HT
Niliacha kuangalia kabisa kwenye apartment niliyokuwa naishi next door naye alikuwa liver damu sasa wakati linapigwa la kusawazisha hizo kelele zake mzee mpka niliamka kuwasha TV 3-3
Sikuamini mkuu
Nice picha kwa kweli
10:1109:06
AMUN RA
Mithali 2:22
Mama TANZANIA
Nyumbu
Mti mzuri sana
Impressive MOUDGULF
" BORN BEFORE COMPUTERS"