Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Mimi nimeongelea kua kwenye serikali hua hawaangalii umri bali ni cheo,kusema makandarasi wanamnyenyekea Kijana mdogo sio sawa! Hapo hauangaliwi umri bali ni cheo, sikua na maana ya kumtetea huyo RC kama ulivyoelewa wewe bali nilitoa maelezo tu kuelezea hilo suala!Hahahha amekuwa waziri wa ujenzi kwani