Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
L518
Afadhali mana kile kipimo hapana,imagine unakutana na mtu umri kama baba ako au hata babu unamwambia inamana nikufanyie DRE daaah!Wanaume tukapime tezi dume sasa. Kuna kipimo mbadala na rahisi. Hakuna haja ya kuogopa tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
*******************************
“Lakini inaweza kuwa wanaume mnaogopa kupima saratani ya tezi dume na mimi nitoe wito kwa wanaume mpime kwa sababu pia sio kile kipimo kinachotembea mitandaoni. Kipo kipimo cha kupima saratani ya Tezi dume ambapo unapima kwa kutoa damu na sio vile mnavyofikiria kile kipimo ambacho watu wanakiogopa hicho sicho rafiki"
Waziri wa Afya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii inawezekana kwenye movie za kihindi tu[emoji38][emoji38]
Shemeji unauliza majibu? Hiyo ni given [emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu kanimalizie hela za nyanya na za kutoka pale mnadani Pugu. Hatari sana...Kalikuwa na ka msamb.......[emoji23][emoji23][emoji23]
Just curious
Huku shwari kabisa tuponipo poaa mamiee za pande hizoooo?
HahahahahaWeweeeee...Kwa vile huko Ukerewe mamba anaweza kujibadilisha na kuwa mjusi basi unafikiri na kwingine ni hivyo hivyo. Shimba ya Buyenze ni Shimba ya Buyenze daima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo hayo mkuu. Baghosha !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msambwanda wa kuning'inia [emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji unauliza majibu? Hiyo ni given [emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu kanimalizie hela za nyanya na za kutoka pale mnadani Pugu. Hatari sana...