Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3568.PNG
 
Afadhali mana kile kipimo hapana,imagine unakutana na mtu umri kama baba ako au hata babu unamwambia inamana nikufanyie DRE daaah!
Hii ya damu nadhani ni preliminary tu. Wakiona una hiyo protin wanayoitafuta basi utahitajika uchunguzi zaidi na traditional method itatumika tu ili daktari ajiridhishe.

Ni kansa inayotibika kwa asilimia karibia 98 ikigundulika mapema. Tatizo ni hiyo process na ukweli kwamba matibabu yake ni very delicate. Kosa kidogo tu netiweki inakata permanently. Sasa marijali wanaona afadhali kufa tu kuliko kuishi maisha ya -urijali...
 
Shemeji unauliza majibu? Hiyo ni given [emoji23][emoji23][emoji23]. Karibu kanimalizie hela za nyanya na za kutoka pale mnadani Pugu. Hatari sana...
Hahahahaha wewe na mzee wa Tukuyu hatari sana hasa ukiona mamba........[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu Mkuu umesema mzaramo hapo hata kabila ungebadilisha
 
Back
Top Bottom