Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunaitaga kimsambwanda mning'inio. Mwenzangu angekuwepo hapa angetoa ufafanuzi zaidi. Anauguliwa na mzazi masikini na hali siyo nzuri. Si ajabu huko aliko anahangaika tu. Tumkumbuke katika maombi...
Amina.Ulisema nisikate tamaa,baada ya mahangaiko nimejileta humu tena.
Hicho kimsambwa...kina kuwepo kwa ajili ya kuegeshea kanga/kitenge,kina mvuto wa aina yake, hasa mkiongozana unaweza ukaurestisha mkono wako na kuurimeinisha pale juu yake bila kudondoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom