Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amina.Ulisema nisikate tamaa,baada ya mahangaiko nimejileta humu tena.
Hicho kimsambwa...kina kuwepo kwa ajili ya kuegeshea kanga/kitenge,kina mvuto wa aina yake, hasa mkiongozana unaweza ukaurestisha mkono wako na kuurimeinisha pale juu yake bila kudondoka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole kwa kuuguza
Mungu amfanyie wepesi mama
 
960.jpg
 
Back
Top Bottom