Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Naomba 2020 agombee na ashinde tuone. Atabadilika utafikiri siyo yeye.Yuko vizuri kwa kweli Mimi Jana nilimdharau kwa kauli zake lakini Leo serikali imekubali kwa Mara ya kwanza maneno ya lissu kuwa ndege inashikiliwa kweli
Dah
Hichi kibabu sijui kina nini kichwani mwake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanasiasa ni mwanasiasa tu. Naomba 2020 agombee na ashinde tuone. Atabadilika utafikiri siyo yeye.
Mtamaliza maneno yote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Manchester united ni club ya kwnz ulaya kufunga goli nane katika mechi mbili ambazo goli zote nane wamefunga watu WEUSI... !!! Source anayo wenger
Sent using Jamii Forums mobile app