Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

58748d61a8affcada8d1ca7b99d6b505.jpg
Pomboo. Eti ndiyo wanyama wenye akili sana baada ya binadamu !!!
 
Mhhh! Pombooo?? Kuna wale wanaitwa jelly fish hawana ubongo wala akili yeyote lakini wameweza kudumu mpaka miaka 2500. Glory to God.

Ni habari nzuri kwa mamtu majinga duniani kote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo sentensi yako ya mwisho sina uhakika kama nimeielewa sawa sawa mkuu...
 
Back
Top Bottom