myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
malengo ni muhimu
Yaani waninipa moto kweliBarca wanaiomea liver mbona usajili wao huwa hawanyakui man u au chelsea au man city?
Pole labda wanalipiza maumivu ya neymaYaani waninipa moto kweli
Hapo ninakubali kwa asilimia chache kidogowanasiasa wazalendo wanabigwa kibuti' hawafiki mbali..
Ni kweli mwanadamu hatosheki hata apate nini bado atahangaika tuMwanadamu ni mwenye pupa ya kupapia dunia, hatosheki, haridhiki mpaka mauti yamkute
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeharibu siku yangu kwa hiyo unataka kusema tutakufa!?Mwanadamu anahangaishwa na dunia, na duniani hana maisha marefu, ni siku chache tu atakazoishi lakini ameghafirika. mwanadamu hataki kuhangaishwa na makazi ya milele. Hataki, anajisahaulisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana huyu mu argentina,hawa vijana wanamjua Messi na Di maria tu 😀😀Claudio Cannigia kuna yoyote anamkumbuka huyu
Cc:wapenzi wa mpira woteNiambie msomaji je, wananchi wangapi Uingereza wanafuatilia maisha ya Alhaj Sheikh Said Awadh Bakhressa mmiliki wa Azam FC Tanzania, ilhali sisi Afrika tunafuatilia maisha ya tajiri Roman Abramovich wa Chelsea?
Muda kuishi duniani ni makumi sabaMwanadamu anahangaishwa na dunia, na duniani hana maisha marefu, ni siku chache tu atakazoishi lakini ameghafirika. mwanadamu hataki kuhangaishwa na makazi ya milele. Hataki, anajisahaulisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini hatujawahi kusikia mshabiki wa mpira Spain, Argentina au Ujerumani akishangilia timu zetu? Vipi hatusikii Mzungu akijiua baada ya Simba kuifunga Yanga au Azam kuitoa Simba ulingoni?
Hahahahaha taratibu hatakuja tu
"Wiseman" never lie and when he lie he became "Otherwise"epuka uongo